Waziri wa biashara Moses Kuria siku ya Jumaa Tatu alisema kua kufunguliwa upwa kwa duka la bidhaa kutoka China kwa jina la China square kuna leta mashindano yasiyo sawa nchini.

Akizungumza baada ya kufika mbele ya kamati ya bunge kuhusu mambo ya uwekezaji, Kuria alisema kua China square inawanufaa tu watu ambo ni wa kipato cha katikati (Middle class).
Kulingana na Kuria, duka hilo linahudumia tu watu ambo wana magari kwasababu hakuna steji ya mabasi karibu na China square.
Facebook Comments Box

