Kiongozi wa upinzani Raila Odinga siku ya Alhamisi alisema kua ametangaza maandamano kote nchini baada ya muda wa siku kumi na nne ambao alimpa rais William Ruto kuisha. Akizungumza baada ya kikao na wana Azimio la Umoja One Kenya, Kinara huyo wa ODM alisema William Ruto hakutilia matakwa yake maanani […]
Waziri wa biashara Moses Kuria siku ya Jumaa Tatu alisema kua kufunguliwa upwa kwa duka la bidhaa kutoka China kwa jina la China square kuna leta mashindano yasiyo sawa nchini. Akizungumza baada ya kufika mbele ya kamati ya bunge kuhusu mambo ya uwekezaji, Kuria alisema kua China square inawanufaa tu […]
