Waziri wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Ndani Kithure Kindiki ametoa agizo kwa raia wa Kenya ambao pasipoti zao zinashikiliwa katika maeneo mbalimbali nchini, kuwapa fursa ya siku 30 kuchukua nyaraka zao. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mpango wa Matokeo Haraka (RRI) katika Idara ya Serikali ya Uhamiaji na […]
mass action
Gavana wa kaunti ya Kakamega Fernandes Barasa sasa anaitaka serikali ya kitaifa kuinglia kati na kumaliza mzozo kuhusu kugatuliwa kwa sekta ya afya nchini. Akizungumza katika uzinduzi wa hazina maalum ya huduma za afya katika uwanja wa Bukhungu, gavana Barasa amesema magavana wote 47 nchini wanatarajia serikali ya kitaifa kuwaunga […]
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Amina Jane Mohammed atazuru kenya licha ya ripoti kwamba hana imani na Ruto. Haya ni kwa mujibu wa msemaji wa Umoja wa Mataifa Stephane Dujarric ambaye alidokeza kuwa Amina atatua nchini mwezi huu wa Aprili. Haya yanajiri saa chache baada ya stakabadhi […]
Mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino amewaacha Rais William Ruto na wanajeshi wake wa Kenya Kwanza wakiwa wameshtuka. Hii ni baada ya mbunge huyo mwenye msimamo mkali kutuma ujumbe ambao haukutarajiwa kwa mkuu wa nchi baada ya tetesi kuwa Raila Odinga huenda akakamatwa baada ya maandamano. Akizungumza siku ya Jumanne […]
