Wakili wa katiba Prof PLO Lumumba amemkashifu vibaya kiongozi wa chama cha ODM, waziri mkuu wa zamani na kinara wa upinzani Raila Odinga. Hii ni baada ya kukataa kukubali matokeo ya uchaguzi wa Agosti 9, 2022 na kutangaza maandamano ya kitaifa, na kuwachochea wafuasi wake dhidi ya serikali ya rais […]
Onyo Kali
Jenerali wa NRM Miguna Miguna amemkashifu vibaya kiongozi wa upinzani, aliyekuwa waziri mkuu na kinara wa upinzani Raila Odinga. Hii ni baada ya kiongozi huyo wa Azimio la Umoja One Kenya, wakati wa maandamano dhidi ya serikali huko Siaya mnamo Jumanne kutangaza kuwa Jumatatu, Machi 20, itakuwa likizo ya umma. […]
