Viongozi wa chama cha ODM wameendelea kushinikiza majadiliano mapya kuhusu uhusiano wao wa kisiasa na chama tawala cha UDA kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027. Wakizungumza katika eneo bunge la lugari kaunti ya kakamega nyumbani kwa aliyekuwa mbunge wa eneo hilo Cyrus Jirongo aliyeaga dunia, Mwenyekiti wa kitaifa wa ODM […]
Dar es Salaam, Tanzania – Ubalozi wa Kenya nchini Tanzania umewataka Wakenya kuwa makini na kuchukua tahadhari kutokana na ripoti za uwezekano wa machafuko wakati wa maadhimisho ya Siku ya Uhuru tarehe 9 Desemba 2025. Kwenye taarifa iliyotolewa Ijumaa, Desemba 5, Ubalozi umewahimiza raia wake walioko Tanzania kubaki ndani ya […]
Spika wa Bunge la Taifa Moses Wetang’ula ametoa wito kwa Wabunge kutenga rasilimali zaidi kwa wizara ya Michezo. Wetang’ula alisema riadha bila shaka ndicho chombo nambari moja cha kuitangaza Kenya kimataifa. Akizungumza katika Kaunti ya Uasin Gishu siku ya Jumamosi asubuhi, Spika Wetang’ula alisema Wimbo wa Taifa la Kenya umekuwa […]
Waziri wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Ndani Kithure Kindiki ametoa agizo kwa raia wa Kenya ambao pasipoti zao zinashikiliwa katika maeneo mbalimbali nchini, kuwapa fursa ya siku 30 kuchukua nyaraka zao. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mpango wa Matokeo Haraka (RRI) katika Idara ya Serikali ya Uhamiaji na […]
Gavana wa kaunti ya Kakamega Fernandes Barasa sasa anaitaka serikali ya kitaifa kuinglia kati na kumaliza mzozo kuhusu kugatuliwa kwa sekta ya afya nchini. Akizungumza katika uzinduzi wa hazina maalum ya huduma za afya katika uwanja wa Bukhungu, gavana Barasa amesema magavana wote 47 nchini wanatarajia serikali ya kitaifa kuwaunga […]
